PRINCESS LEFT BABY WITH PRINCE TO ATTEND GALA...
0
Mke wa mjukuu wa Malkia Elizabeth, anaye julikana kama "The Duchess of Cambridge" Kate Middleton aliwaacha mumewe na mtoto wao mchanga nyumbani ili ahudhurie sherehe maalumu zijulikanazo kama ball gown
for black-tie gala.
Siku moja tu baada ya ubatizo wa mtoto wao George Alexander, Kate, amekuwa mgeni rasmi katika ikulu ya Kensington katika maadhimisho ya kuwasaidi watu wenye ulevi wa aina mbalimbali. Kate alitupia gauni maridadi lilobuniwa na mbunifu wake Jenny Packham.