KIMYE SASA FOR BETTER OR WORSE....

0
Hiivi karibuni Couple matata sana huko MarekanI huenda ikafunga pingu za maisha baada ya Kanye West kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake na mama wa mtoto wake KIM Kardashian.


Ilikuwa siku ya Jumatatu ambapo Kim alipata zawadi ya Birthday huenda ndiyo nzuri kuliko zote alizowahi kupata. Hii ni baada ya mwanadada huyu kuulizwa "Will you Marry Me"?

Kanye West asingeweza kufanya tendo hili popote hivyo alikodi uwanja mkubwa ambapo San Francisco Giants wanacheza.

Familia na marafiki wa wawili hawa walikuwepo kushuhudia tukio hilo.





0 comments: