MZEE SMALL: NINA TATIZO LA KIHARUSI...VIJANA WANAZUSHA NIMEFARIKI...

0

Msanii wa sanaa ya Uigizaji (vichekesho) Mzee Small, alafajiri ya leo amekiri kuwa yeye ni mzima japo siyo sana bali hajafariki dunia kama wengi wanavyodai.


Mzee Small mwenye umri wa miaka 58 hivi sasa alizushiwa kufariki dunia mnamo saa Tano kasoro usiku wa jana jambo ambalo si la kweli na yeye mwenyewe ameshittushw ana uzushi huo japo sio mara moja.







0 comments: