WANAWAKE KUTOKA IRELAND,NDIYO WANAOVUTIA ZAIDI DUNIANI:RIPOTI

0
Wanawake kutoka nchini Ireland sasa  watambulika rasmi kuw andiyo wanwake wanaovutia zaidi duniani. Hii ni kutokana na shirika la kimataifa linalofanya uchambbuzi wa aina hii ulimwenguni.

Wavuti ya  BeautifulPeople.com. imewataja wanawake wa Ireland kuwa wenye mvuto zaidi ya mataifa mengine yoyote na kuwapandisha nafasi kumi kutoka walikokuwa hapo awali.





0 comments: