ADOLESCENCE IS DOING BIEBER MORE HARM THAN GOOD...WHAT DO YOU THINK?
0
Muimbaji mahiri wa miondoko ya POP kutoka Canada, Justin Bieber amefikishw amahakamani kw atuhuma za kumtisha dereva wa gari aina ya limousine huko Toronto Marekani mwezi uliopita.
Huyu mtoto wa miaka 19, alijisalimisha polisi mwenywe ambapo alizingirwa na waandishi wa habari na mashabiki lukuki.
Hata hivyo Mwanasheria wake amesem akuwa mteja wake hana hatia. Nadhani huyu mwana sheria na Bieber wote wachapwa viboko 12...
What do you Think?