WOSIA WA HAYATI NELSON MANDELA LEO....

0

Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini imesema wosia wa mwanaharakati wa haki za binadamu na rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini hayati Nelson Mandela, utajulikana hii leo.

Follow me on Twitter @prudencegerald1

Makamu wa rais wa mahakama hiyo Dikgang Moseneke amevialika vyombo vya habari kusikiliza wosia huo pamoja na tamko lake, hii ikiwa ni miezi miwili tu kupita tangu Mandela afariki dunia Desemba 5, 2013.

Taasisi ya Mfuko wa Mandela, itabainisha kilichomo kwenye wosia huo wa Mandela leo mchana kwenye makamo makuu ya taasisi hiyo.

0 comments: