INDIA KWACHAFUKA

0

Zaidi ya watu 600,000 wameyahama makazi yao huko India baada ya kuarifiwa kuwa kimbunga chenye kasi ya kilometa 136 kwa saa kiko njiani kupiga eneo la majimbo ya Orissa na Andhra Pradesh






0 comments: