KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZAANZA "SHUGHULI"

0
Vikao vya kamati za kudumu za bunge vimeanza hii leo ikiwa ni kukagua utekelezaji wa mipango ya serikali kwa wizara husika.


BAADHI YA WENYEVITI WA KAMATI HIZO NI...
Edward Lowassa, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

 
Mohamed Mgimwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Uchumi.

Rajab Mbaruku Mohamed Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa.

Andrew Chenge Mwenyekiti Kamati ya Bajeti, mwenyekiti 
 
Margareth Sitta amekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii  

Jenister Mhagama Mwenyekiti Kamati ya Maendeleo ya Jamii 

Lediana Mng’ong’o, mwenyekiti kamati ya maswala ya Ukimwi

Anna Abdallah Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama  

Brigedia mstaafu Hassan Ngwilizi Mwenyekiti Kamati ya Maadili

Profesa Peter Msolwa  Mwenyekiti Mifugo na Maji 



0 comments: