LEO NI SIKU YA CHAKULA DUNIANI

0
Mtoto aliyeathirika vibaya na Lishe duni
 
Siku ya leo imetengwa na Umoja wa Mataifa, mahususi kwa kuupa Uma uelewa wa umuhimu wa chakula cha kutosha na kuikinga jamii na maradhi yatokanayo na lishe duni au ukosefu kabisa wa chakula.


Huyu pia ameathika vibaya na Utapiamlo
Muhanga wa Lishe duni
UNAJUA KWAMBA THELUTHI MOJA YA CHAKULA  KINACHOZALISHWA HUHARIBIKA? UNADHANI HII NI KWA NINI?
Hawa ni watoto au Watu wazima?

Mzee naye Yumo

0 comments: