SIKU YA KAMUSI DUNIANI (DICTIONARY)

0
Siku ya leo ilitengwa maalum kukumbuka na kuwaenzi wale wote waliotoa michango yao katika utengenezaji wa Kamusi. Hawa ni wale waliochangia utengenzaji wa Kamusi ya Noah Webster ambayo ni muasisi wa kamusi za sasa.



WATU HUJIFUNZA HUJIFUNZA MANENO MAPYA PIA...


0 comments: