LEO NI BOSS DAY

0
Ubosi ni cheo ambacho wengi hukitamani, bila kujua kuwa cheo hiki huja na majukumu yake mbalimbali. Wapo waliozaliwa iliwawe maboss, lakini pia wapo wanaoweza kutengezwa kuw amabosi...Wewe ni kundi gani?



Umewahi kufahamu kuwa mabosi wa kike ni wazuri kuliko wa kiume?

Utafiti umebainisha kuwa, Mabosi wakike wanaongoza kwa kupendelea usawa na amani makazini. Lakini wenzano wa kiume hawavipi vitu hivyo kipaumbele.


Tafiti nyingine imebaini kuwa mabosi wa kike wana kirsirani...yaan (They are very Moody). Hii inawafanya wasiwe mabosi wazuri kama walivyo wakiume.



Tafiti nyingine imebaini kuwa, mabosi wakali sana, wanawashinikiza sana wafanyakazi wao, hupata wafanyakazi wasioweza kuzalisha...yaani UNPRODUCTIVE.

Hata hivyo imegundulika kuwa wanaume ndiyo wanaoweza kuwa mabosi wazuri kuliko wanawake kutokana na uwezo wa kufanya maamuzi, na kuyasimamia bila kushinikizwa katika hali ya kawaida. Wakati mwanamke anaweza kuendeshwa na huruma au chuki, hii sio kabisa kwa mwanaume.

0 comments: