LAMAR KUSEMA YOTE....Soon
0
Mwanamama Oprah Winfrey anammendea Mchezaji Mpira wa kikapu Maarufu Ulaya Lamaar Odom kwa ajili ya mahojiana ya moja kwa moja ambapo anamtaka Lamar kuzungumzia maswala yote kuhusu maisha yake...
Oprah atafanikiwa? Inasemekana Oprah, mwanamama huyu mwenye umri wa miaka 59 sasa yupo tayari kutoa Kitita kikubwacha fedha ili kupata Interview na mtu yoyote maarufu atakaye mchagua.