MWANAUME ALIYERUHUSIWA "KUCHEAT" BILA KUGUNDULIWA

0
Lopatova muaimbaji wa muziki wa miondoko ya POP ambaye  amefunga ndoa na mcheza mpira wa kikapu wa Urusi Andrei Kirilenko amekiri kumruhusu mume wake kutoka nje ya ndoa Ruhusa hii ambayo imetolewa na mwanamama huyu kw amumewe ni kwa muda wa mwaka mmoja tu. Yaani mume wake huyu anaruhusiwa kutoka nje ya ndoa mara moja tu kwa mwaka. Na hii inatakiw akuwa siri kubw akwani akiifahamu atajua kuw aMume wake amemdhalilisha.

Mwanamama huyu ambaye akiwa stejini anatumia jina la mAlO aliliambia gaxeti la ESPN kuwa wanaume wachezaji ni wazuri sana kiasi kwamba wanawake huwakimbilia, hiovyo haoni vibaya kumruhusu mume wake kwani anafahamu fika si rahisi kwa wanaume kustahimili  mikiki ya aina hiyo.



Hata hivyo mpaka leo haijulikanai kama Kirilenko... (Mumewe) amewahi kulichukulia uzito swala hili.

0 comments: