LEO NI SIKU YA MSANII DUNIANI... ONA LIST YA WASANII WA KALI ZAIDI BONGO...

0
Leo Oktoba 25

























ni siku ya kimataifa ya Msanii. Ni siku ya kufurahi ana kuheshim akazi za aina zote za sanaa ambazo zimechangia kwa namna moja au nyingine kuifikisha nchi yetu hapa ilipo. Tumia siku hii kumpeleka msanii kwa ajili ya chakula cha mchana, nunua album yake, mchoro wake au fanya kitu chochote cha kibunifu kuienzi siku hii.


LIST HII INAWAKILISHA WASANII WOOOTE WA BONGO. WE LOVE YOU ALL... YOUR CONTRIBUTION IS HIGHLY APPRECIATED.

0 comments: