SIKU YA KIMATAIFA YA KUNAWAWA MIKONO

0
Watoto wakinawishwa mikono







Global Handwashing Day , Ni siku iliyotengwa duniani kote maalum kwa ajili yaq kukumbusha watu duniani kote kunawa mikono kwa sabuni.  Hii ilikuwa Kampeni maalum ilikuhimiza usafi wa mikono kwa wanafunzi mashuleni, ila baada ya miaka mingi ikawa kampeni kwa watu wote duniani.
Mikono ni sehemu ya mwili inayoweza kuwa chafu zaidi. Pia ndiyo yenye hatari zaidi ya kutupa magonjwa.
Osha mikono kwa sabuni kila unapohisi ni michafu

0 comments: