SIKU YA KIMATAIFA YA MWANAMKE WA VIJIJINI

0
Wanawake wa vijijini ni kundi kubwa la kina mama wanaotuzunguka. Hawa wanaweza kuwa mama zetu, dada zetu, bibi zetu , shangazi zetu na hata marafiki zetu.

Umoja wa mataifa uliiiteuwa siku ya tarehe 15 mwezi wa 10 kuwa siku ya kimataifa ya Mwanamke wa kijijini. Ikionekana kwamba wanawake hawa ndiyo waliotengwa zaidi na jamii yao, au pengine kusahaulika kwa mchango wao thabiti, basi Umoja wamataifa ukatenga siku ya leo kuwa siku ya kuwakumbuka na kutambua uwepo na thamani ya wanawake hawa katika kuleta maendeleo.                          
Wanawake wa vijijini ni kundi kubwa la kina mama wanaotuzunguka. Hawa wanaweza kuwa mama zetu, dada zetu, bibi zetu , shangazi zetu na hata marafiki zetu.

Je mchango wako ni upi katika hili?

0 comments: