ONA SHERIA YA WAFANYAKAZI WASIO WAZAWA NCHINI KENYA ILIVYO MBAYA....

0
MKURUGENZI WA UHAMIAJI KENYA JANE WAIKENDA

Vibali vya Kazi nchini Kenya kwanzai sasa vitatolewa ndani ya miaka miwili pekee.

Kwa mujibu wa mkurugenzi wa Uhamiaji Bi Jane Waikenda, waajiri wanatakiwa kuweka wazi nafasi ya kazi ya atakaye ondoka na jina la atakaye ichukua kazi hiyo....Hii ni kuhakikisha wakenya wanapata nafasi za kazi katik angazi za kimataifa kwa wingi.



Amesemakuwa sheria hii inawahusu watu wasio wakenya wanaopanga kuishi na kufanya kazi nchini humo.

0 comments: