Marais wa nchi za Afrika mashariki wamepongeza wananchi wa nchi hizo kwa kuuona mwaka mpya, huku wote wakiashiria mema kwa mwaka 2014.
Rais, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kutoka ikulu jijini dar-es-salaam amesema mapungufu yanaweza kuwepo kiuchumi, lakini maono siyo mabaya kwa mwaka 2014.
 |
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania |
Rais Yoweri Museven amesisitiza kushughulikiwa kwa matatizo ya miundo Mbinu nchini humo ili kuongeza pato la taifa.
 |
Rais Yoweri Museven wa Uganda |
Rais wa nchini Kenya, Bw Uhuru Kenyatta amesisitiza kuendelea kutekeleza
ahadi za serikali zilizowekwa na chama chake mwaka jana wakati
wakugombea urais ikiwa imekamilika miezi nane tu tangu kuanza kwake kazi rasmi.
 |
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya |