BAADA YA KUKAA KWENYE COUMA MIAKA 8 ARIEL SHARON AFARIKI

0



Ariel Sharon, kiongozi mahiri zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Israel amefariki dunia baada ya kukaa kwenye Couma kwa miaka 8 baada ya kuugua ugonjwa wa kiharusi hii leo.

Familia yake pamoja na serikali ya Israel imetangaza habari hizi kwa masikitiko makubwa kwani kinara wao amewatoka.

Wanasiasa wengi wamemwaga machozi baada ya kifo cha shujaa huyu, wanaosema ndiye kinara wa majeshi aliyefaniskisha kuondoshwa kwa majeshi katika ukanda wa gaza mwaka 2005.



Wakati huohuo Gaza Kimenukajeeee.....


0 comments: