GENERALI EL SISI KIKAANGONI MISRI...YUKO TAYARI???? FAHAMU ZAIDI
0
![]() |
Generali Abdel Fattah Saeed Hussein Khalil el-Sisi |
Magenerali wakuu wa jeshi nchini Misri,
wamesafisha njia kwa mkuu wa kikosi cha majini Abdel Fattah el-Sisi
kugombea Urais huku wakimtaka atangaze nia yake siku chahche zijazo.
Baraza kuu la majeshi nchini humo,
Ambayo ni mamlaka ya juu zaidi ya Jeshi nchini Misri, limeiita hatua
hiyo kama ni matakwa na inamlazimu afanye hivyo kwani ni maombi ya
viongozi wa juu wa nchi na uma kwa ujumla.
Katika taarifa iliyotolewa jana usiku,
imesema kuwa, wao wameteuw ayeye lakini yeye mwenyewe Bw. Sisi
ataamua iwapo anataka kugombe anafasi hiyo au la. Hata hivyo
amemwagiwa sifa nyingi sana kwa kufanya kazi kwa bidii na kuitikiwa
wito kuitumikia nchi yake.
Maelfu ya wancnhi wamekuwa wakimtaka
Bw. Sisi kuweka wazi agenda yake kisiasa wiki hii, baada ya wapiga
kura wengi kuunga mkono katiba mpya iliyoandikw ana seriklai ya sas
ainayoongozwa na jeshi.
Waandishi wahabari na wataalamu wengine
waliokutana na Sisi wamesema Generali huyu hatakikabisa nafasi hiyo
ya Urais wala hana mpango wakuigombea...
Katika hotub ayake mwaka jana Julai 24,
sisi alisema ni heshima zaidi kupata kura nyingi kw auma kuliko
kuiongoza tu misri.
Ni wazi kwamba, haijalishi atakubali au
la, Misri inakutan ana changamoto mbili kubw amabazo zimekuwa
zikiandama serikali kwa muda mrefu. Kwanza ni hofu ya kikundi cha
muslim Brotherhood,
Kwamba makundi ya waislamu hayata kaa
kimya kuona jeshi linaingilia serikali na kuangusha watu wa kundi
hili. Pili Serikali itaendelea kuingiliwa na jeshi mpaka lini?
Inawezekana Bw. Sisi anafahamu hili ndiyo maana kama hataki vile
Urais.
Tukitizama ukweli wa siasa nchini
Misri...Rais hana uwezo wa kulikabili Jeshi. Generali Sisi anafahamu
yote haya. Je atakubali?
Tuma maoni yako.