KAKA HUYU ALINISIKITISHA SANA MIMI BINAFSI...SIKUELEWA NI KWANINI ANAFANYA HIVI...
0
Wote tunafahamu mvua za hapa na pale zinaendelea jijini
Dar-es-salaam na Tanzania kwa ujumla. Kwingineko kama maeneo ya kilosa hata kusababisha mafuriko. Lakini katika hali ya kusikitisha,
katika Pitapita zangu jana tarehe 23
Januari 2014 nlikutana na kaka huyu ambaye jina lake sibahatika kulifahamu
mara moja, akinawa mikono katika dimbwi la maji machafu. Bahati Nzuri
Camera yangu haikuwa mbali hivyo nikamnasa