MWANAUME MCHAFU ZAIDI DUNIANI, SASA ASAKA MWENZA WA MAISHA
0
Mwanaume mchafu zaidi duniani, sasa amekiri kuwa anahisi upweke na anahitaji mwenza maishani. Bw. Amou Haji wa Tehran ameksema wazi kuw ahana tatizo katika maisha yake ila anachohitaji kwa sasa ni mwanamke atakayempenda maishani.
Haji, mwenye umri wa miaka 80, aligonga vichwa vya habari mapema
wiki hii alipoweka wazi kuwa hajawahi kuoga wala maji kupita mwilini
mwake kwa miaka 60 iliyopita.
Mwanaume huyu anayeishi mwenyewe katika kijiji cha Dejgah Kusini
mwa Iran katika jimbo la Fars anaishi kwa kula nyama za (vidungumaria)
zilzoo, na anasema kwamba wazo la kuoga...
baada ya mda wote huu linamfanya awe na hasira sana.
Bwana Haji ameendelea kusema kuwa ameamua kuishi maisha haya ya upweke baada ya kupata matatizo ya kutengwa katik aujana wake.Lakini Haji ameendele akusema japo kuwa amekuwa na maisha yasiyovutia kwa wakati wote huu bado anaimani kubwa kuwa atatokea mtu wakuujaza moyo wake na furaha.