Hii Hapa Surprise Ommy Dimpoz anayokuja nayo...

0
Msanii wa muziki Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa mitaa inasubiri kwa hamu kuona namna atakavyofungua mwaka akiwa anangojewa kuachia video ya ngoma yake ya Tupogo, amewataka wapenzi wa muziki kusubiri kwa hamu atakaporejea katika ziara yake huko Marekani na Uingereza katika msimu huu wa Valentine, ambapo atakuwa mzigo mpya kwa ajili yao.

Dimpoz amesema
kuwa, kuna mambo mengi mapya kwa ajili yao na hangependa kuweka wazi kila kitu, isipokuwa amewataka mashabiki wa muziki Bongo kujua kuwa atakapotua kutoka nnje ya nchi, atakuwa na suprize kubwa kwaajili yao, Hapa anasema nasi mwenyewe.

0 comments: