JAGUAR sasa karibu na P Square, Radio& Weasel...

0

Msanii Charles Njagua Kanyi "Jaguar" anaonekana kutanua wigo wa Muziki wake kufika Afrika ya Magharibi na Kusini kupitia mkataba mpya wa usambazaji kazi za muziki ambao amesaini na kampuni ya MTech Kenya.

Jaguar kwa sasa yupo katika michongo ya kufanya kolabo ya aina yake na msanii Ice Prince kutoka Nigeria.


Kampuni ambayo Jaguar amesaini nayo mkataba tayari inafanya kazi na wasanii wengine wengi wakali kama Wyre, Victoria Kimani, Ice Prince vile vile P Square kutoka Nigeria, na Radio na Weasel wa Uganda.

0 comments: