"Uteja" wa Philip Seymour Hoffman washangaza Wengi

0


Kifo cha msanii mahiri wa filamu Philip Seymour Hoffman,kimezua utata baada ya kugundulika kuwa alikuwa teja licha ya kuonekana mwenye furaha wakati wote

Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na msanii huyu, Hoffman alionekana na rafiki zake katika mgahawa mmoja akiwa mchangamfu na mwenye furaha, na kwa mujibu wa mhudumu, rafiki wa mwigizaji huyu waliagiza na kunywa bia ila yeye alisisitiza kuwa hataki kunywa pombe.
Marehemu Hoffman atakumbukwa kwa jitihada zake kubwa za kuhakikisha anawalea watoto wake vizuri ya kupambana na shida ya matumizi ya dawa hizo za kulevya ambazo ziliweza kuyumbisha mahusiano yake na familia yake.

0 comments: