JAY Z NDANI YA DALADALA....ni kama....ndani ya chopper

0
Catching the Tube: Jay-Z and Chris Martin use the underground after performing at the 02 arena in London



Mwana Hip Hop huyu ni moja ya wanamuziki wakubwa zaidi duniani... Madon wenyewe aliyejinyakulia umaarufu mkubwa kutokana na kiasi anachokitengeneza kupitia muziki wake.

Amewaacha midomo wazi wakazi wa London, baada ya kupanda daladala. Jay z mwenye umri wa miaka 43, alionekana akipanda daladala yaani usafiri wa kawaida baada ya kufanya onyesho eneo la uwanja wa O2 Jijini London.

Alikuwa na rafiki zake wa karibu Chris Martin, producer Timbaland, manager Ty Ty na mmiliki wa Atlanta Records Michael Kyser. 

Ukisikia matonya ndani ya Chopper, ni kama Jay z ndani ya daladala...Headlines hazitatofautina sana....lolest...

0 comments: