NYERERE DAY....JE TUNAMUENZI?

0
Amezaliwa kama Kambarage Nyerere Mwaka 1922 tarehe 13 april katika familia ya watoto 26 katika familia ya chifu wa Zanaki Nyerere Burito(1860-1942).Alikuwa Mwalimu wa Biology na English na baadaye History na Kiswahili na ni mtanganyika wa Kwanza kusoma British University. Aliacha watoto saba.

Tukiwa tunakumbuka nakuenzi maisha ya Baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, unaweza kuangalia misimamo kadhaa ya Mwl. Nyerere na kutafakari je leo tunamuenzi? Misa ya kumuombea Mwalimu Nyerere, Itafanyika kitaifa Mkoani Iringa, Ikiwa ni maadhimisho ya miaka 14 ya kifo cha Babab wa Taifa. Rais Jakaya Kikwetet ataongoz amaadhimisho hayo.

0 comments: