ONA MGAHAWA UNAOAJIRI MAPACHA PEKEE

0

 

Mmiliki wa mgahawa mmoja huko Moscow, nchini Urusi, ameamua kuajiri mapacha wawili tu katika mgahawa wake ili kuvutia zaidi wateja.

Mgahawa huo ujulikanao kama The Twin Stars diner unaajiri mapacha waliofanana na wanaovaa sare kuhudumia wateja wake ilikuleta mvuto zaidi.

Aina hii ya uajiri ilionekana pia katika filamu ya zamani ya Kirusi enzi ziiile za Usosholisti.



0 comments: