KUMBE HALMASHAURI ZINAKOPESHA????

0
Waziri Mh. Sophia Simba
Waziri Jamii jinsi ana watoto Bi. Sophia Simba agiza halmashauri nchini Tanzania kutenga asilimia 10 ya mapato yake ikiw ani kw amujibu wa kanuni zilizowekwa kisheria ili fedha hizo zitunishe mfuko wa mikopo katika halmashauri nchini ilikuboresha mikopo kwa makundi maalumu ya vijana na wanawake.

Waziri Mh. Sophia Simba

0 comments: