NYANI HULIWAZA KAMA BINADAMU....TAZAMA

0

Historia ya kidunia dunia inatuambiwa kwamba hawa ndiyo asili yetu. Japo sisi ni kama wanyama wengine tu sema tunao utashi, inawezekana kuw akama wanyama wengine wangetakiwa kuwa binadamu, basi hawa apa wataongoza listi hiyo.



Tizama baadhi ya viashirio katika picha.

Akionesha Upweke

Mama na mwana wakiteta Jambo.
Akiwaza Jambo, Huenda ni mwanae aliyemshika mkono
Mother Moments
Family Moments
TAFAKARI....USICHUKUE HATUA.
MARAFIKI

0 comments: