TAZAMA...BAISKELI ZA MIAKA IJAYO....

0







http://ichef.bbci.co.uk/wwfuture/624_351/images/live/p0/1j/qb/p01jqbmy.jpg Baiskeli hizi zipo katika majaribio ya kuidhinishwa kuwa baiskeli za kutumika.

Je zitaweza kweli kuchukua na nafsi ya Baiskeli zetu tunazozijua za sasa?

Kofia ya Baiskeli hii (Helmet).

Ndani ya kofia Hiyo.
 Endapo mvaaji atapata ajali basi kuta hii ya ndani inauwezo wa kumkinga na majeraha yoyote.


mwenyewe (Anirudha Surabhi) akiijaribisha.
Mbunifu wa Kofia hii ya kisasa ni Anirudha Surabhi. Aliibuni baada ya kupata ajali iliyom,uacha na tatizo la mtikisiko w aubongo miaka kadhaa iliyopita.

0 comments: