DIAMOND...NJENJE HOLYWOOD

0
Mawe yenye thamani ya juu sana aina ya Diamond, huenda yakawa ya kumwaga Holywood baada ya wanasayansi kugundua kuwa yanapatikana kwa wingi katika sayari za Saturn na Jupiter.

Wanasayansi wamefanya mahesabu na kugundua kuwa data walizonazo ziliashiria uwepo wa Vito hivyo vya thamani.

Diamonds Diamond rain could be "the most common precipitation in the Solar System" the authors say

Upo apo?....Pengine na wale wenye majina haya wakawa wengi siku za karibuni...jus sayin...

0 comments: