MABUSU NI MUHIMILI MKUBWA SANA KWA MAHUSIANO

0



Tafiti zinaonyesha huna budi kumbusu mpenziyo kila mara, kwani ni msingi mkubwa wa mapenzi thabiti kwa jamii zote zilizopo na zilizowahi kutokea duniani, Amini usiamini.

It is true...One has to kiss a lot of frogs if one wants to find the prince...
You may recall....Just saying

Hii ni njia moja ya kuweka wapenzi karibu. Wanawake katika tafiti hii wanaonekana ndiyo wanaopenda zaidi tendo hili.




Wakati wapenzi wakikutana kwa mara ya kwanza, kunakuwa na mvuto wa kawaida tu. ila wanapofahamiana zaidi, basi swala la kubusu linakuw an aumuhimu kuliko kitu kingine chochote.




Mwanasaikolojia nayehusika na maswala ya tabia, Dr Rafael Wodarski, ambaye aliongoz atafiti hii katik achuo kikuu cha Oxford, alisema kuwa Kubusu ni swala linaloweka wapenzi karibu sio tu kwa binadamu bali na viumbe vingine. ME NOT EXCLUDED.





0 comments: