NYUMBA NDOGO UCHINA ZAZUA UTATA
0
Nyumba ndogo huko Uchina zimezua utata baada ya mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 26 kuweka wazi picha za video za mpenzi wake ambaye ni mume wa mtu na pia mtumishi mkubwa wa serikali nchini Humo. Mtumishi huyu sasa amesimamishwa kazi na yuko chini ya uchunguzi.
Hii ni sehemu ya harakati za wanawake nyumba ndogo (Mistresses) nchini Uchina, wanaoweka wazi picha na taarifa muhimu za wapenzi ambao si halali kwao.