MOTO AUSTRALIA WATISHIA AMANI
0
Moto mkubwa unaozuka katika misitu mbalimbali New South Wales nchini Australia UNAWEZA KUSABABABISHA MAAFA MAKUBWA SANA.
Kamishna anayeshughulikia maswala ya moto nchini humo amedai kuwa, hali ni mbaya hivi sasa na inatarajiwa kuwa mbaya zaidi wiki hii.
MAMIA WAYAHAMA MAKAZI |