Mnamo mwaka 2001, tarehe kama ya leo Ipod ya kwanza iliwekwa wazi. Baadae iliuzwa mnamo Tarehe 10 mwezi Novemba mwaka huo huo kwa dola za kimarekani $399.00.
iPod Day
inakumbushia siku hii na kutambua ni kwa kiasi gani IPOD imeleta urahisi wa kupata muziki wakati wowote.
HAPPY iPOD DAY..........