|
OPRAH WINFREY |
Leo ni siku ya kuwasherehekea watangazji wote wa televisheni
.
|
PRUDENCE GERALD |
|
FATNA RAMOLE MBONI MASIMBA |
Siku hii maalumu sana hushereheklewa kam asehemu ya kumkumbuka mtamgazaji mashuhuri wa vipindi vya usiku Johnny Carson. Huyu anajul;ikana kama Mfalme wa Televesheni usiku. Alifanya show hiyo kwa takribani miaka 30, kutoka mwaka 1962 mpaka 1992. Kuliwahi kuwa na vipindi 1,859.
Hata hivyo siku hii imewajumuisha watangazaji wa vipindi vya mchana na usiku.