WAASI WAMMALIZA JENERALI SYRIA

0


Marehemu MEJA JENERALI JAMEH JAMEH
Generali mkubwa nchini Syria ambaye amekuwa akipigana vita na waasi mashariki mwa jimbo la f Deir Ezzor amefariki dunia.

Meja jenerali Jameh Jameh ambaye alikuwa mkuu wa kikosi cha Kiintelijensia katika jimbo hilo aliuwaw ana kupigw arisasi masaa 12 yaliyopita na wapiganaji w akikosi cha waasi ambao wanafanya jitihada kumuangusa rais aliyeko madarakani Bashar al-Assad.

Meja huyu alikuwa kifanya shughuli zake za kiserikali maafa yalipomkut. Hakukutolewa taarifa zaidi z akifo hicho.

0 comments: