SIKU YA UMOJA WA MATAIFA. OKTOBA 24
0
BAN KI MOON KATIBU MKUU UMOJA WA MATAIFA |
Leo ni siku ambayo Umoja wa mataifa inafanya sherehe za kumbukumbu ya
kuanzishwa kwake mwaka 1945.
Sherehe hii imekuwa ikiadhimishwa kuanzia mwaka 1948 mpaka sasa.
Mwaka 1971, siku hii ilitamkwa kuwa siku ya likizo (public holiday) kwa mataifa wanachama wa umoja wa Mataifa. Lakini Je Inafanyika hivyo?