PSQUARE TAYARI KUWASHA MOTO LEADERS CLUB KESHO

0
Wale mapacha wanaosubiriwa kwa hamu kubwa kwa ajili ya show ya kukata na shoka inayotarajiwa kufanyika kesho viwanja vya Leaders Club kinondoni wamekwishawasili.

Kati ya mambo mapacha hao walioahidi ni kufanya show kali ambayo haijawahi kutokea Afrika Mashariki nzima. USITHUBUTU KUKOSAAAAAAAAAAAAAA...... HII ITAINGIA KWENYE VITABU VYA HISTORIA YA BURUDANI....

0 comments: