BOKO HARAM TENAAAAAAAA???

0

Wapiganaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia kambi ya jeshi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, na kuharibu helkopta mbili.

Mashahidi wamesema wapiganaji hao wameshambulia maeneo kadhaa ya mji wa Maiduguri, kuanzia mapema jana asubuhi.

Hali ya hatari ya saa 24 imetangazwa katika mji wa Maiduguri, ambapo pia uwanja wa ndege wa mji huo umefungwa.

0 comments: