ONA ALIYEMPIKU LADY GAGA KWA FOLLOWERS WENGI ZAIDI TWITTER....
0
Muimbaji maarufu wa miondoko ya Muziki wa POP duniani mwana dada Katy Perry jana ametangazw akuwa mu wa kwanza dunaiani kuwahi kuwa na wafuasi wapatao milioni 50 katik amtandao wa kijamii wa Twitter.
Cha ajabu ni kwamba
mahesabu malum yaliyofanywana Twitter yamebainikuwa mwanana dadfa Katty Perry mwenye umri wa miaka 29, ambaye anatamba kwa sasa na kibao cha "Dark Horse" alichomshirikisha Juicy J atagonga million 50 kwani mpaka hiyo jana alikuwa na wafuasi 49,989,780.
NATAMANIJE ANIGAWIE ROBO TU????