Izzo Business sasa aja UPYAAAAAAA....

0
Rapa Izzo Business ameachia rasmi ngoma ya Tummoghelle ambayo alikuwa amewaahidi mashabiki wake kwa muda mrefu, ngoma ambayo imesukwa na mtayarishaji Duke wa M Lab na kukamilishwa ndani ya studio za Master J.



0 comments: