Selena Gomez ashindwa kujitawala..Ona alipopata Msaada
0
Mrembo na staa wa muziki aliyekuwa mpenzi wa Justin
Bieber, Selena Gomez ameamua kuchukua tahadhari na kutafuta msaada
zaidi katika kituo cha kusaidia saikolojia na kurekebisha tabia
ambapo imefahamika kuwa tayari ametumia wiki mbili huko Arizona
Marekani akitibiwa ili kuweka mambo yake sawa.
Hatua hii ya Selena kutafuta msaada wa aina hii imetajwa kuwa haihusiani kwa namna yoyote na shida ya dawa za kulevya wala pombe, na lengo lake kubwa limetajwa kuwa ni
kutafuta msaada wa kutawala hisia zake pamoja na kuwa na uwezo wa kusimamia na kukamilisha mambo yake bila wasiwasi.