Octopizzo amkacha Kaligraph...Zama humu...
Rapa Octopizzo ambaye mitaa yote kwa sasa inangoja
kwa hamu kuona ni kwa jinsi gani atajibu mapigo baada ya kudisiwa na
Kaligraph, amewataka mashabiki wake kufahamu kuwa
kwa sasa yeye yupo
busy kukamilisha kazi yake na rapa M.I. kutoka Nigeria.