KENYATTA SASA NI HURU???? Zama humu
0
Waongoza mashataka katika mahamaka ya
kihalifu ya ICC jana, wamesema kuwa serikali ya kenya inazuia
uendeshwaji w akesi ya Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta
anayeshutumiwa kuchochea ghasia katika chaguzi za mwaka 2007/2008.
Moja ya sababu kuu, waendesha mashitaka
hao wanadai ni kitendo cha nchi kuzuia nyaraka muhimu zinazotakiwa
mahakamani hapo.
Hata hivyo wakili anayemtetea Rais
Kenyatta amedai kuwa kesi hiyo haina nguvu, kwani ushahidi
uliohitajika awali ulipatikana lakini haukuwa na tija. Na sasa
Ushshidi huu wanaouhitaji sasa sio kipimo cha mtejka wake kwani
ungekuw ana umuhimu wangeuhitaji mapema.
Kenya amekutwa bila hatia katika kesi
zinzomkabili ikwa ni pamoj ana ile ya mauaji, na kusababisha watu
kuhama makazi
Wadadisi wa mambo wanadai kuwa,
muendesha mashataka mkuu awali aliahirisha kesi kwa kusema anahitaji
ushahidi, lakini baada ya kukosa ushahidi sasa anaisingizia serikali
kuwa haionyeshi ushirikiano. Hii ni kukosekana kwa muelekeo wa kesi.
Hata hivyo Jaji anayeshughulikia kesi
hiyo Bw. Kuniko Ozaki amesema wasikilizaji wa kesi
hiyo hawataitolea hukumu mapema kiasi hicho.