Chameleone na Juliana wasikitishwa sana na kifo cha...
Staa wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone pamoja
na mwanamama Juliana Kanyomonzi wameeleza hisia zao za masikitiko
kufuatia kifo cha mdau mkubwa wa muziki na rafiki yao wa karibu Adam
Keita kilichotokea juzi huko Uganda.