MASHABIKI HAWATARUHUSIWA NYAYO OKT 27.

0
Wakati maumivu ya shambulio la Westgate yakiendelea kupona kwa wengi wa wakenya, sasa katika mashindano ya Riadha yanayodhaminiwa na benki ya Standard Chartered yatakayofanyik auwanja wa nyayo hakutakuwepo mashabiki.

Huu ni uwanja mkubwa nchini Kenya unaotumiwa kwa shughuli mbalimbali. Hii ni moja ya mikakati mingi inayofanyika nchini Kenya ili kuimarisha ulinzi.

 Katika hatua nyingine Serikali nchini Kenya imeendelea kuhimiza polisi jamii hasa ujumbe wa nyumba kumi kumi ilikuimarisha ulinzi.

0 comments: