SHIRIKA LINALOPIGA VITA SILAHA ZA KEMIKALI LASHINDA TUZO
0
Kamati ya Tuzo za Nobel nchini Norway imesema kuwa, Shirika lakupiga vita matumizi ya silaha za kemikali (OPCW), ambalo linashughulikia kuteketezwa kwa silaha za aina hiyo nchini Syria limefanmikiwa kutunukiwa tuzo ya nobel hii leo.
Silaha hizo ambazo zimesadikiwa kuua takriban wananchi 1,400 wasyria mnamo Agosti mwaka huu zimetakiwa kueteketezwa na shirika la umoja wa mataifa kufuata maafa zinazoweza kutoa.