MFAHAMU ZAIDI ANAYETOA SIRI ZA MAREKANI
0
Edward Snowden |
Amewahi kushinda Tuzo zijulikanazo kama "the biennial German "whistleblower prize" mnamo Agosti Mwaka huu.Kutoka na kuvujish akwake habari za Marekani. Mwenyewe akiri alifanya kutoka na kutofautiana na sera zilizopo akiona ni za kuumiza wengine.
Soma zaidi malalmiko na nani wanalalamika...
Malalamiko yanayoikabili Marekani ya
kusikiliza mawasiliano ya viongozi mbalimbli kwa njia ya simu kwa
siri ili kujua yanayoendelea katika nchi hizo yamechukua sura mpya
baada ya Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kulalamika kuwa amekuwa
akifuatiliwa na Maekani. Japokuwa Marekani imekataa tuhuma hizo,
Ujerumani inaamini kuwa Marekani imefanya hivyo na wanataka maelezo.
Malalamiko ya aina hii yametokea sana
hivi karibuni, Ikiwa ni Pamoja na Rais wa\ zamani wa Mexico
kuilalamikia mMarekani kuichunguza akaunti yake ya barua pepe.
Awali iliwahi kuelezwa kuwa Marekani
imekuw aikiifatilia Aljazeera enzi za uongozi wa Bush.Felipe Calderon
Angela Merkel |
Felipe Calderon |
Wanaharakati na picha za Rais Barack Obama kushoto , Edward Snowden Kulia |